18 682 109 książek w 174 językach
Jednak się nie przyda? Nic nie szkodzi! Możesz zwrócić produkty nawet do 30 dni
Bon prezentowy to zawsze dobry pomysł. Obdarowany może za bon prezentowy wybrać cokolwiek z naszej oferty.
Nawet do 30 dni na zwrot
Kuhisi kutelekezwa, kutokuwa na thamani, au kupotea...?
Katikati ya dhoruba, tukizidiwa na ukali wa hali halisi ya hii dunia - na mateso yetu ya kila siku - upendo wa Mungu unaodaiwa uko wapi?
Ukweli utaimarisha imani yako na kuimarisha tumaini lako. Hata wakati hali zetu hazifanani na nchi ya ahadi, Yeye hutuongoza na kutulinda.
Ijapokuwa familia inaweza kutuacha, upendo mwingi wa Mungu hubaki: haijalishi sisi ni nani, tumetoka wapi, au tumefanya nini.
Katika dhoruba zilizojaa maumivu, huzuni na hasara, tunaweza kumgeukia Mungu wetu mwenye upendo... mlinzi wetu na mrejeshaji wetu... Bwana anayezitawala dhoruba.
Sifa kwa WINGI WA UPENDO WA MUNGU:
... uchunguzi wa kina wa upendo wa mungu na athira zake katika maisha yetu - Sabrina B, mchungaji wa gereza
... mtazamo ulio wazi juu ya kile kinachoweza kupunguza huzuni, machozi na hasara - Denise B, muuguzi mstaafu
Bimeandikwa vizuri - Tess G, daktari wa magonjwa ya akili
Cześć! Jestem Libroamiko, Twój doradca książkowy.
Jak mogę Ci pomóc?